×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Tembea Kenya: Ngome ya vita vya Mau Mau katika misitu ya mlima Kenya na Aberdare

16th July, 2016

Katika makala ya Tembea Kenya tunaangazia ngome ya vita vya Mau Mau dhidi ya Wabeberu katika misitu ya mlima Kenya na Aberdare ndani ya eneo la kati. Ziara yetu ilitufikisha katika mapango ndani ya mlima Kenya yaliyotumika na Mau Mau waliokuwa wakiishi ndani ya msitu. Carol Nderi ametuandalia makala yetu ya leo ya tembea kenya.
.
RELATED VIDEOS