Shirika la Wakulima wadogo wapiga vita GMO na kurudia kienyeji
25th June, 2016
Shirika la wakulima wa kiwango kidogo limelalamikia mchipuko wa mimea ya viini tete ama GMOs hapa nchini.
Wakulima hao wamesistiza kuwa wataendeleza kilimo asili.
Nicholas Wambua alitembelea wakulima katika eneo la mukaa, kauni ya makueni na kutuandalia taarifa ifuatayo.