Kisengere Nyuma: Aliyekuwa jaji mkuu Willy Mutunga
19th June, 2016
Watu hutoka mbali na pia wengi kufika mbali maishani. Katika makala ya leo ya kisengere nyuma makala ambayo yanakujia kila jumapili katika taarifa zetu za KTN Leo wikendi tunakuletea picha za alikotoka jaji mkuu mstaafu Willy Mutunga ikiwa ni thibitisho kamili kwamba kwa kweli mutunga ametoka mbali