×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kifo cha “Maulana”: Makala maalum kuhusu kifo cha Jehovah Wanyonyi

7th June, 2016

Ni miezi saba sasa tangu kuibuka habari kwamba jamaa aliyedai kuwa mungu, Jehovah Wanyonyi amefariki. Licha ya hiyo habari kinzani hasa kutoka kwa wafwasi wake zimeibua mjadala na ugomvi kutoka magharibi ya nchi alikohudumu. KTN Leo imelizamia suala hilo hadi kufika kwenye kaburi lake na kuandaa makala maalum kifo cha maulana ambayo yanatoa ukweli wa iwapo alifariki ama la. Makala hayo yatapeperushwa katika sehemu ya pili ya taarifa hizi.
.
RELATED VIDEOS