Maafa ya Mvua katika kaunti ya Nandi
21st May, 2016
Wakazi wa nyanda za juu wadi wa Sang’alo kaunti ya Nandi wameamkia msiba baada ya familia moja ya watu watano kuzikwa na matope kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku kucha. Sasa wakazi wameombwa kuhama maeneo hatari ya miinuko maeneo ya Nandi escarpment msimu huu wa mvua. Shirika la msalaba mwekundu pia limeanzisha mikakati ya dharura kuwasaidia walioathirika.