×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanafunzi zaidi ya 40 wanufaika kutokana na msaada wa masomo wa kaunti ya Nairobi

12th May, 2016

Wanafunzi 471 kutoka familia zisizojiweza kaunti ya Nairobi wamepokea mgao wa msaada wa elimu kutoka serikali ya kaunti. Msaada huo wa kima cha shilingi milioni 56 unatarajiwa kuwanufaisha wanafunzi kutoka shule za umma za baraza la jiji na zile za kaunti. Kila mwanafunzi akipokea mgao wa karo wa shilingi elfu hamsini na nne. Hafla hiyo iliongozwa na Waziri wa Elimu Kaunti ya Nairobi, Anne Lokidor.
.
RELATED VIDEOS