x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kifo cha utata chumbani mwa hoteli eneo la Jinai kaunti ya Mombasa

12, May 2016

Maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai katika Kaunti ya Mombasa wamejipata kwenye njia panda miezi miwili baada ya mauaji ya kijana mmoja mwenye umri wa miaka ishirini. Kijana huyo alipatikana ameuawa ndani ya chumba cha hoteli moja mjini huku pembeni kukiwa na mipira ya kondomu kuashiria alikufa baada ya kuzidiwa na dawa za kuongeza nguvu za kiume. Mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali miezi miwili baada ya mauaji ya kijana huyo anatoa sura za watu wanne wanaodaiwa kumuua kijana huyo.

Feedback