x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Ufichuzi kuhusu mauaji tata ya mfanyabiashara mashuhuri Jacob Juma

09, May 2016

Usiku wa leo meza ya uchunguzi ya KTN inafungua kurasa mpya ya uchunguzi kuhusiana na mauaji ya mfanyabiashara mashuhuri Jacob Juma. Wadadisi wa masuala ya usalama wanasema kuwa huenda Juma aliuawa kwengine kabla ya mwili na gari lake kuegeshwa kando ya barabara ya Ngong karibu na shule ya Lenana. Aidha maswali yameulizwa kuhusu kukosekana kwa maganda ya risasi katika eneo la mkasa. Jacob Juma alipigwa risasi saba, mbili kifuani na moja shingoni na kufa papo hapo. Mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali amelizamia suala hili na kutuandalia taarifa ifuatayo.

RELATED VIDEOS


Feedback