Muathiriwa wa Ghasia za Uchaguzi wa Mwaka 2007-2008 anaishi na risasi mwilini
07, May 2016
Waathiriwa wa ghasia za baada ya uchaguzi wa Mwaka 2007/ 2008 bado hawajapata haki. Mwanamke mmoja katika kitongoji duni cha Kibera anazidi kuishi kwa uchungu wa risasi alizopigwa wakati huo kwani zingali mwilini mwake. Nick Wambua anaarifu.