x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwanamke ajichoma na kujitoa uhai pamoja na wawawe wawili Embu

04, May 2016

Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha Mugoya kaunti ya Embu baada ya mwanamke mmoja kujitoa uhai pamoja na wawawe wawili. Mwanamke huyo wa umri wa miaka 35anadaiwa kujimwagia mafuta ya petrioli na kujichoma yeye na wanawe kufuatia mzozo baina yake na mumewe.

RELATED VIDEOS


Feedback