x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanakandarasi wa jengo lililoporomoka Huruma hawatambiliwi na mamlaka ya ujenzi

02, May 2016

Mamlaka ya kitaifa ya ujenzi pamoja na taasisi za ujenzi kitaifa zimesema wanakandarasi wa jengo lililoporomoka katika kitongoji cha Huruma hawatambuliwi na taasisi hizo. Imebainika pia jengo hilo lilijengwa sehemu isiostahili kujengwa.

Feedback