x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Pan Paper kufunguliwa upya katika kipindi cha miezi tatu ijayo

28, Apr 2016

Kampuni ya kutengeneza sukari ya Pan Paper ya Webuye kaunti ya Bungoma imetangazwa kufufuliwa katika kipindi cha miezi 3 ijayo. Rais Uhuru Kenyatta alitangaza hilo baada ya serikali kuingia katika mkataba na wakezaji wa kibinafsi. Shilingi bilioni 6 zinatarajiwa kumwaga kiwandani ili kifufuke.kilifungwa miaka kumi iliyopita.hiyo ikionekana kuwa nafuu tazama mtandao ulivyochangamkia habari hizo.

RELATED VIDEOS


Feedback