x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwili wa mtoto anayedaiwa kuuawa na mamaye lafukuliwa kufanyiwa uchunguzi Likoni

26, Apr 2016

Uchunguzi rasmi sasa umeanzishwa kuhusiana na kifo cha kutatanisha cha mtoto wa umri wa mwaka mmoja unusu anayekisiwa kuuawa na mamaye na kisha kuzikwa kwa njia ya siri…kupitia ilani ya mahakama, mwili wa mtoto huyo wa kike ulifukuliwa eneo la Kindunguni Likoni ili kufanyiwa uchunguzi wa maabara na mkuu wa upasuaji Johansen Oduor.

RELATED VIDEOS


Feedback