x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mashabiki wa mwanmuziki mwendezake Papa Wemba waendelea kukumbukia maisha yake tangu kifo chake

25, Apr 2016

Mashabiki wa mwanmuziki maarufu kutoka Congo Papa Wemba wameendelea kukumbukia maisha yake tangu kifo chake kutangazwa hapo jana. Aidha mmoja wa wanamuziki wapya ambaye vilevile ni wa kutoka Congo Allicios Theluji amesema kwenye mtandao wake wa tweeter kwamba Wemba alibashiri kifo chake. Amedai kwamba ataondoka ulimwenguni akiwa jukwaani mbele ya mashabiki wake.

RELATED VIDEOS


Feedback