Kiboko yaishi na binadamu katika Kaunti la Garissa
24, Apr 2016
Je ni mara ngapi umewahi kuona Wanyama wa majini kama vile Kiboko wakihusiana na binadamu? Taswira hiyo imejitokeza katika eneo la Garissa katika mpaka wa Kenya na Somalia. Hamza Yussuf alishuhudia vitimbi hivi vya Majini.