x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kongamano la ugatuzi laingia siku ya tatu katika kaunti ya Meru

21, Apr 2016

Kongamano la ugatuzi kule Meru limeingia siku yake ya tatu, mada kuu ikigusia masuala ya afya na ugatuzi. Huku hoja kuu ikisalia kuwa ile ya ugavi wa pesa, waziri wa ugatuzi Mwangi Kiunjuri, amewakumbusha magavana kuwa serikali kuu inafanya kila namna kuhakikisha kuwa ugatuzi utafaulu. hatahivyo, Mwenyekiti wa baraza la magavana Peter Munya naye angali anasisitiza kuwa kuna uhaba wa pesa unaoathiri utenda kazi wao. Carol Nderi na taarifa zaidi.

RELATED VIDEOS


Feedback