x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Timu ya Shujaa yarejea nyumbani na kukaribishwa mbwembwe, shangwe na vigelegele

19, Apr 2016

Mbwembwe na shangwe zilitanda wakati mabingwa wa mchezo wa raga ya wachezaji saba kuwasili nchini mapema saa nane unusu hii leo. Vijana hao wakiongozwa na mkufunzi wao Benjamin Ayimba waliwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKIA wakiwa na taji maalum walilolishinda kwenye mashindano ya raga mkondo wa Singapore mwishoni mwa juma lililopita.

RELATED VIDEOS


Feedback