x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

KTN Leo 17th April 2016 [Part 1] Kifo Nakuru

17, Apr 2016

Timu ya Raga ya Wachezaji saba kila upande almaarufu shujaa 7’s imeandikisha historia baada ya kushinda mkondo wa raga ya dunia nchini singapore kwa kuicharaza fiji alama 30 kwa 7. Hii ni mara ya kwanza kwa kenya kuandikisha ushindi wa taji kuu katika msururu wa raga ya dunia.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback