x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Maandalizi ya mkutano wa maombi yaendelea kufanywa mjini Nakuru

15, Apr 2016

Tunaanza dira ya wiki kwa taarifa kwamba kesho itafanyika mikutano miwili mikuu hapa nchini. Mkutano wa kwanza utafanyika mjini Nakuru na unaongozwa na rais Uhuru Kenyatta. Serikali imesema kwamba mkutano huo ni wa maombi ya shukran baada ya kesi za kenya icc kufeli. Mkutano wa pili utafanyika jijini Nairobi na umeandaliwa na muungano wa cord. Hebu tuungane na mwanahabari wetu Geof Kirui ambaye yupo katika uwanja wa Afraha patakapofanyika mkutano wa Nakuru

RELATED VIDEOS


Feedback