x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wahudumu wa matatu wapewa muda wa dakika 5 kuegesha magari katika vituo kati kati mwa jiji

12, Apr 2016

Wahudumu wa matatu wamegadhabishwa na agizo la serikali ya kaunti ya Nairobi kwamba wana muda wa dakika 5 pekee kuegesha magari yao katika vituo vya kati mwa jiji ili kuwachukua abiria. Wahudumu hao wamesema hawatatii maagizo hayo kwani biashara zao zitaathirika pakubwa. Wakati huo huo serikali ya kaunti ya Nairobi imesema mpango huo ni wa kumaliza misongamano jijini.

RELATED VIDEOS


Feedback