x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Joshua Sang: Nimewasamehe wale wote walionisaliti

07, Apr 2016

Hatimaye mwanahabari Joshua Arap Sang amepasua mbarika kuhusu masaibu yaliyomsibu kwa miaka sita kwenye mahakama ya ICC huko the Hague. Akizungumza siku mbili baada ya kuondolewa mashtaka, Sang alitangaza kuwasamehe wale walioliorodhesha jina lake kwenye msumeno wa icc kupitia barua ya ocampo iliyokuwa na majina sita akiwemo mbunge wa gatundu kusini Moses Kuria. Sang ametangaza azma ya kugombea wadhfa wa kisiasa kupitia tikiti ya jubilee alliance mwaka 2017.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback