x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakongwe wawili wa maumau wataka kukutana na rais Kenyatta

18, Mar 2016

Wakongwe wawili ambao walishiriki vita vya mau mau wanaodai kuwa walikuwa wakuruba na wasiri wa hayati Mzee Jomo Kenyatta wamejitokeza kuomba kupewa nafasi ya kukutana na rais Uhuru Kenyatta ili kumkabidhi stakabadhi muhimu na funguo wanazodai zinaumuhimu mkubwa.Njoroge Wainaina na Hannah Wambui Gatura wanadai kuwa hayati Mzee Jomo Kenyatta aliwaamini na kuwapa funguo na stakabadhi ambazo zimenakili mambo muhimu ambayo yamehifadhiwa kwa usiri mkubwa.wanadai kwamba wamejaribu mara nne kumfikia rais Uhuru Kenyatta bila mafanikio yoyote.kando na maombi ambayo wametuma kupitia barua wameketi pia na gavana wa kiambu William Kabogo ambaye amewaahidi kwamba atawakutanisha na rais.

RELATED VIDEOS


Feedback