x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

IEBC yazungumzia wazo la kuhamisha wapiga kura

12, Mar 2016

Ukosefu wa maafisa wa kutosha na utovu wa usalama ni baadhi ya changamoto zinazoathiri utendaji kazi wa tume huru ya uchaguzi na mipaka, IEBC. Haya ni kwa mujibu wa afisa mtendaji mkuu wa tume hiyo Ezra Chiloba. Imebainika kwamba kuhama kwa idadi kubwa ya wapigaji kura kuelekea vituo vingine kunazidi kuchangia uhasama baina ya jamii mbali mbali nchini. Alizungumza kwenye warsha iliyoandaliwa na tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa, NCIC kwenye hoteli ya safari park jijini Nairobi.

Feedback