x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mkurupuko wa kipindupindu lazua wasiwasi katikaka kaunti za Meru na Tharaka Nithi

11, Mar 2016

Watu 30 wamelazwa hospitali huku ripoti zikiashiria huenda sita wamefariki kutokana na mkurupuko wa kipindupindu maeneo ya Kaunti Za Meru na Tharaka Nithi. Kwa mujibu wa afisa mkuu wa afya kaunti ndogo ya tharaka kaskazini, mkurupuko huo ulianza wakati wagonjwa waliporipoti visa vya kuharisha na sampuli zilipopelekwa kwenye maabara ya kemri, zikabainishwa kuwa ni maradhi ya kipindupindu. Mapema mwezi wa Januari ugonjwa huo uliripotiwa maeneo hayo kabala ya visa vya hivi punde kutokea.

RELATED VIDEOS


Feedback