x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

EACC yamhoji Gladys Shollei kuhusiana na sakata ya chicken gate

10, Mar 2016

Gladys Boss Shollei amekanusha kuhusika kwa njia yoyote ile kwenye sakata iliyobatizwa jina “chicken-gate” katika tume ya uchaguzi nchini, ambapo baadhi ya maafisa wanatuhumiwa kupokea rushwa kutoka kwa kampuni ya Smith & Ouzman kutoka nchini uingereza. Shollei aliyehojiwa mapema leo na tume ya kupambana na ufisadi nchini-EACC, aliwaambia waandishi wa habari kwamba kwenye nafasi yake kama naibu afisaa mkuu katika tume ya muda- IIEC, hakuhusika kwenye taratibu za ununuzi wa aina yoyote ile.

RELATED VIDEOS


Feedback