EACC yakiri kukusosea kwa kumuondoloea lawama Ann Waiguru kutokana na sakata ya NYS
09, Mar 2016
Mwenyekiti wa tume ya kupambana na ufisadi nchini Philip Kinisu amezua mdahalo, kwa kuiambia kamati ya bunge kuhusu haki na maswala ya sheria, kwamba tume hiyo ya EACC kwa bahati mbaya ilimuondoloea Ann Waiguru tuhuma za sakata ya NYS, kutokana na ukosefu wa mawasiliano baina ya vitengo kadhaa serikalini.