×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke aliyeolewa na mzee wa wake 28 Garisa aunga mkono desturi za wanaume kuoa zaidi ya mke mmoja

8th March, 2016

Ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake, maudhui yake yakiwa ni kuhakikisha usawa baina ya jinsia….mwanamke mmoja katika kaunti ya Garissa huenda atafikirika kuwa anarejesha nyuma juhudi hizo hasa kwa kuwa anaunga mkono pakubwa desturi za wanaume kuoa zaidi ya mke mmoja. Mwanamke huyo ni mmoja wa wake 28 waliolewa na mzee mmoja katika kaunti ya Garissa na anajivunia ndoa hiyo Hamza Yussuf anaarifu kwa kina kutoka garissa
.
RELATED VIDEOS