x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kiongozi wa FDC Kizza Besigye apinga matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Uganda

21, Feb 2016

Kiongozi wa chama cha upinzani cha forum for democratic change FDC Kizza Besigye amepinga matokeo ya uchaguzi wa urais nchini uganda na kuiomba jamii ya kimataifa kuunda jopo la kuchunguza kilichojiri. Wakati huo huo rais yoweri museveni amefutilia mbali sherehe za ushindi zikizokuwa zimepangiwa kufanywa hapo jana na badala yake kuomba wazazi kuwarudisha shule watoto….

RELATED VIDEOS


Feedback