Uongozi wa Sultani katika jamii ya Wasomali
16, Feb 2016
Kwa miongo mitatu iliyopita jamii ya Wasomali imekuwa ikiongozwa na wafalme waliojulikana kama Sultani. Mathalan jamii ya Ajuran ilikuwa Akraba moja chini ya mfalme mmoja aliyefanya jamii kuwazidi wenzao kwa miongo minne. Baadhi ya Wasomali kutoka jamii ya Ajuran ikiwemo jamii ya Dulhadha wameaamua kurejesha tamaduni hizo za kale.