x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Maafisa wa polisi waliomua msichana wa miaka 14 Kwale wahukumiwa miaka 7 gerezani

15, Feb 2016

Maafisa wawili wa polisi wamepewa hukumu ya miaka 7 gerezani kwa kupatikana na hatia ya kumuua msichana wa miaka 14 katika kaunti ya Kwale mwaka wa 2014. Akitoa uamuzi huo jaji Martin Muya hata hivyo amesema kwamba hapakuwa na ushahidi wa kuonyesha kwamba polisi hao walikusudia kuua

Feedback