x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Penzi Hatari: Mwanamke ashambuliwa na mumewe kwa kisu baada ya ugomvi

13, Feb 2016

Kwenye kisa kinachoangazia kukithiri kwa mafarakano ya nyumbani, mama mmoja eneo la kapenguria anauguza majeraha ya kisu baada ya kushambuliwa na mumewe. Mama huyo, alishambuliwa kwa kisu mwendo wa saa tisa usiku na mumewe anayesemekana kuwa askari wa utawala. Majirani waliojaribu kuingilia walitishwa kwa kupigwa risasi kabla ya mama huyo kukimbilia usalama.

RELATED VIDEOS


Feedback