x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanasiasa wakosoa maendeleo chap chap

11, Feb 2016

Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka na gavana Machakos Alfred Mutua wanaendeleza kampeni kila mmoja akitaka kuonesha ubabe wake wa kisiasa katika eneo la ukambani. Wawili hao wanapigania kuchukua hatamu za uongozi wa eneo. Wanachama wa wiper wakiongozwa na katibu mkuu Hassan Omar na seneta Makueni Mutula Kilonzo Junior walielekeza kampeni yao eneo la masongaleni kibwezi katika kaunti ya makueni kumpigia debe mgombea wa chama hicho kwenye uchaguzi mdogo wa wodi hiyo hapo kesho.

Feedback