x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mbio za Discovery zakumbwa na changamoto baada ya washiriki kupotea njia

07, Feb 2016

Mbio za Discovery zilikumbwa na changamoto za aina yake kama vile kupotea njia kwa washiriki mjini Eldoret huku waandalizi wakilazimika kuanzisha upya mbio za wanaume. Mbio hizo hata hivyo zilikamilika na washindi kutajwa huku zikiadhimisha miaka 25 tangu kuanzishswa.

RELATED VIDEOS


Feedback