x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mshukiwa mkuu katika kifo cha Chelele afikishwa kortini

14, Jan 2016

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanamuziki diana chemutai almaarufu chelele leo amefikishwa katika mahakama ya kericho kwa kosa la kutekeleza mauaji. Erick musila alifikishwa mbele ya hakimu mkuu george ongondo chini ya ulinzi mkali. Maafisa wa polisi walilazimika kumkinga mshukiwa kutokana na wakaazi wenye hasira. Hata hivyo kesi hiyo haikuendelea huku hakimu akitoa amri mshukiwa awekwe rumande ili kutoa fursa ya uchunguzi zaidi hadi atakapofikishwa mahakamani tena tarehe nane februari mwaka huu.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback