x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Vyama vya walimu KNUT na KUPPET yapinga agizo la tume ya huduma za walimu kutathmini utendakazi wao

12, Jan 2016

Vyama vya kutetea walimu KNUT na KUPPET matawi ya Kisii vimewataka walimu kupuuza agizo la tume ya huduma za walimu ya kupitia kwenye tathmini ya utendakazi wao. Viongozi wa vyama hivyo wamesema kuwa serikali inatakiwa kuyashughulikia matatizo ya kimsingi katika wizara ya elimu kwanza kabla ya kuwaandama.

Feedback