x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mtoto apewa jina la Safaricom na mwengine Mobile kufuatia kufika kwa masafa ya mawasiliano Marsabit

09, Jan 2016

Si kawaida kwa jamii za wafugaji kutumia majina ya mtaa, lakini katika boma moja eneo la Laisamis Marsabit mambo ni tofauti … yupo mtoto anaitwa Safaricom mwengine anaitwa Mobile. Walipewa majina hayo baada ya masafa wa kuwezesha mawasiliano kufika sehemu hiyo kwa mara ya kwanza . Mwahabari wetu hamza yussuf alisafiri kilomita mia tisa kutafuta sababu

RELATED VIDEOS


Feedback