x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kampuni 8 zaorodheshwa kwa mradi ya kuwapa wanafunzi wanaojiunga na shule za msingi vipakatalishi

08, Jan 2016

Mpango wa kufanikisha mojawapo ya ahadi kuu za serikali ya jubilee umeanza tena leo. Ahadi hiyo ni kuwapa wanafunzi wanaojiunga na shule za msingi vipakatalishi almaarufu laptops. Wizara ya mawasiliano imeziorodhesha kampuni nane kwenye hatua ya kwanza, lakini je wakati huu utafaulu? Swali jingine ni shule za umma mashinani zimewezeshwa kusetiri kompyuta darasani?,

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback