x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwalimu wa Madrassa Salim Mohamed ahukumiwa miaka 20 kwa kuwafunza watoto itikadi kali za dini

07, Jan 2016

Mwalimu mmoja wa Madrassa Salim Mohamed amehukumiwa miaka 20 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kuwafunza watoto wadogo misimamo na itikadi kali za dini. Hata hivyo mwalimu huyo ameondolewa mashtaka mawili ya kuwa mwanachama wa Alshabaab na la kusajili watoto kuwa wafuasi wa Alshabaab.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback