x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mmoja wa wanafunzi aliyefariki katika ajali ya barabara eneo la Salgaa azikwa

05, Jan 2016

Mmoja wa wanafunzi aliyefariki tarehe mosi mwezi huu katika ajali ya barabarani katika eneo la Salgaa amezikwa leo. David Ng'a nga' alikuwa miongoni mwa wengine watatu waliofariki na kudaiwa kuwa walevi wakati wa ajali hiyo. Viongozi sasa wametoa wito wa hatua kuchukuliwa kwa baadhi ya wamiliki wa baa ili kupunguza visa vya unywaji pombe miongoni mwa wanafunzi.

Feedback