Mkasa ya ajali kwenye barabara ya Nakuru Eldoret
01, Jan 2016
Tunaanza taarifa zetu kwa visa vya sherehe za mwaka mpya maeneo mbali mbali ambapo. watu sita wamefariki dunia baada ya kuhusika kwenye ajali mbili tofauti mapema leo kwenye barabara kuu ya nakuru kuelekea eldoret. Huku hayo yakijiri jamaa mmoja amejipata taabani pale polisi walipomvamia kwa madai ya kuwatusi.