x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Baadhi ya wanariadha wa hadhi ya juu wazuru hopitali ya MTRH kuwasaidia watoto wagonjwa

26, Dec 2015

Huku wengi wakijivinjari kwa mapochopocho ya siku kuu ya Krismasi, baadhi ya wanariadha wa hadhi ya juu nchini wakiongozwa na mshindi wa mbio za Berlin Eliud Kipchoge, mshindi wa mbio za Boston mwaka wa 2012 Wesley Korir na aliyekua bingwa wa dunia wa mbio za masafa marefu Abel Kirui walijiunga na shirika la shoe for Afrika kwa kuwasaidia watoto waliougua kwa kuwapa zawadi kwenye hospitali ya Moi Teaching and Referral katika mji wa Eldoret.

Feedback