Suala la uvutaji bangi laleta changamoto kubwa kwa wenyeji wa Muranga
21, Dec 2015
Kufuatia kutangazwa kwa msamaha kwa wauzaji bangi watakaojitokeza na kupeana bangi hio katika kaunti ya murang’a, kaunti hio sasa imeweza kupokea zaidi ya tani moja na mihadarati hio kutoka kwa wauzaji. Naibu kamishna wa kaunti ya murang’a patrick muli amesisitiza kuwa ataendelea kukabiliana na wale wanaoendelea kupuuza agizo la kujisalimisha.