Nderemo yatanda katika harusi ya William Ombati wa miaka 79 na Truphena wa miaka 67
14, Dec 2015
Ilikuwa ni shangwe vifijo na nderemo kwa familia ya William Ombati mwenye umri wa miaka 79 baada ya yeye kufunga ndio na mkewe Truphena ombati aliye na wa miaka 67. Harusi hiyo ilifanyika katika kijiji cha nyamache kaunti ya kisii.