x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwili wa Freddy Nyaigero kuzuiliwa kwa kushindwa kulipa deni la hospitali la milioni 18

08, Dec 2015

Familia moja mjini Nakuru imefadhaika kufuatia kuzuiliwa kwa mwili wa mmoja wao kufuatia kushindwa kulipa deni la hospitali la takriban shilingi milioni 18. Marehemu Freddy Nyaigero alifariki katika hospitali ya Karen kaunti ya Nairobi alikokuwa amelazwa kupokea matibabu. Hii hapa taarifa kamili kutoka kwa Kamche Menza.

Feedback