x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wasimamizi wa chuo kikuu cha Strathmore wako tayari kujiuzulu kwa uchunguzi

02, Dec 2015

Baadhi ya wasimamizi wa chuo kikuu cha Strathmore hapa jijini Nairobi wametangaza kuwa wako tayari kujiuzulu ili kutoa fursa ya uchunguzi wa kisa kilichosababisha kifo cha mtu mmoja na wengine 30 kujeruhiwa. Naibu Chansela Profesa John Odhiambo amewaomba radhi waathiriwa wa mkasa huo akisema chuo hicho kinachukua dhamana ya mkasa huo..aidha amesema atawasilisha ripoti ya uchunguzi wao na majina ya wanaopanga kujiuzulu kwa baraza la vyuo vikuu ili kuchukua hatua zifaazo

RELATED VIDEOS


Feedback