Furaha ya El Nino kwa Esther Murimi anayezoa mchanga katika Mto Hibwa, Migori
23rd November, 2015
Huku mvua ikizidi kuzua majanga katika sehemu kadhaa nchini kuna wale wanaofurahia inaponyesha kupita kiasi. Miongoni mwao ni mjane Esther Murimi ambaye anazoa mchanga katika Mto Hibwa katika kaunti ya Migori. Kama anavyoripoti Rashid Ronald mvua inayonyesha inasomba mchanga kutoka sehemu mbalimbali hadi pale mjane huyo huuzoa.