x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Maiti ya msichana mmoja aliyeuawa katika shambulizi la Garissa yapatikana

16, Nov 2015

Familia ya mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha Garissa aliyeuawa kupitia shambulizi la al shabaab hatimaye imepata nafuu kidogo baada ya matokeo ya dna kuthibitisha kwamba mwili uliofukuliwa ni wake. Risper mutindi kasyoka kutoka kijiji cha maluma kaunti ya kitui alitoweka tarehe mbili aprili baada ya shambulizi hilo. Pasi na kujua kwao, familia nyingine ilikuwa imeuzika mwili huo kimakosa. Mark namaswa na taarifa zaidi.

RELATED VIDEOS


Feedback