×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mto unaotegemewa na wakaazi wa Kibwezi waharibiwa na mafuta aina ya petroli

3rd November, 2015

Wakaazi wa kijiji cha Thange sehemu ya Kibwezi kaunti ya Makueni wamejawa na wasiwasi baada ya mto wanaoutegemea sana kwa maji ya kunywa kuharibiwa na mafuta aina ya petroli. Shule mbili zinasemekana kuathirika pakubwa na kufikia jioni hi, wakaazi wanadai tatizo bado lipo. Lakini katika mahojiano ya kipekee na mwanahabari wetu Francis Mtalaki kaimu mkurugenzi wa kampuni ya Kenya Pipeline asema tatizo hilo lilitatuliwa kwa siku moja.
.
RELATED VIDEOS