Calvin Omanga asherehekea kwa mualiko kwa timu ya taifa Harambee Stars
27th October, 2015
Ni ndoto ya kila mchezaji kupeperusha bendera ya nchi yake katika mashindano yoyote yale. Kwa Calvin Omanga anayechezea Palos FC, mualiko wa timu ya taifa Harambee Stars umemfanya kumfanya hadi Magego kuonekana. Hajaacha kutabasamu na kusherehekea kwa mualiko huo na alizungumza na Victor Ogalle mjini Kisumu.