×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hospitali ya Nairobi Women’s yakanusha kutomhudumia mkenya aliyefariki ambulensini

14th October, 2015

Huku wakenya wakilalamikia kile kinaonekana kuwa ukosefu wa roho ya kuokoa maisha katika hospitali nyingi nchini, hospitali ya Nairobi Women’s imekanusha habari za kukataa kumhudumia mkenya mmoja ambaye alifariki baada ya kukosa hospitali ya kumpa matibabu dharura . Mkenya huyo alizungushwa jijini Nairobi akiwa kwenye ambulensi kwa muda wa saa 18
.
RELATED VIDEOS